LOADING ...

Luyện nghe bài hát Mawazo

Hướng dẫn luyện nghe

Bạn hãy nghe bài hát và điền từ còn thiếu vào các ô trống.
Sau khi điền hết, bạn nhấn nút gửi bài ở phía dưới để được chấm điểm.
Với những câu trả lời sai, bạn hãy rê chuột lên ô nhập để xem đáp án đúng.
Nếu bạn muốn luyện nghe lại với các ô trống khác thì click vào link "Làm lại bài điền từ khác" ở cuối bài.

Bắt đầu làm bài nào

(Chorous)
Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili mawazo,maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo.
(Vearse one)
Sikujua mapenzi balaa tena ni ya moyo kupendaga...
mapenzi karaha yanajenga chuki na choyo kwenye kava...
Utu wangu unathamani inamaana hakuvijua!
Licha ya burudani yangu akayatimua,
Utu wangu unathamani inamaana havijuaa!
Mmmh! ya burudani ndani akaamua kutimuaah! (Inauma sana)
(Chorous)
Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili mawazo,maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo. (rudia kuimba mara mbili)

Ona jini kisirani kwenye utamu wa penzi langu
ameleta tafarani naumia na moyo wangu...
Ona kisirani kaingia kwenye utamu wa penzi langu,
ameleta mwenzenu nalia na moyo wangu.
Kweli me ninao na roho yangu inaumiaa,
wapenda nao ndo maadui zikitimia!
Lile tunda langu la mara leo limekuwa kwangu,
ona tena sina raha me nacheka nalia na wangu.

Videos

Diamond Platnumz - Mawazo (Official Video)
Diamond Platnumz - Mawazo (Official Video)
Diamond Platnumz "Mawazo" (Official HQ Audio Song)
Diamond Platnumz "Mawazo" (Official HQ Audio Song)
Diamond Platnumz - Mawazo (Lyrics)
Diamond Platnumz - Mawazo (Lyrics)
Diamond platnumz- Mawazo lyrics
Diamond platnumz- Mawazo lyrics
KE 0:02 / 4:03 Diamond Platnumz - Mawazo (Official Video)
KE 0:02 / 4:03 Diamond Platnumz - Mawazo (Official Video)
Diamond Platnumz - Utanipenda (Lyric with English Translation Video)
Diamond Platnumz - Utanipenda (Lyric with English Translation Video)
DIAMOND PLATNUMZ - MAWAZO (TIKTOK DANCE CHALLENGE) 🇰🇪🔥🔥 BEST EVER @dplatnumz
DIAMOND PLATNUMZ - MAWAZO (TIKTOK DANCE CHALLENGE) 🇰🇪🔥🔥 BEST EVER @dplatnumz
Nataka Kulewa (Official Music Video HD) - Diamond Platnumz
Nataka Kulewa (Official Music Video HD) - Diamond Platnumz
Diamond Platnumz – Mawazo (Lyrics) | Beti Zetu Lyrics
Diamond Platnumz – Mawazo (Lyrics) | Beti Zetu Lyrics
Alikiba feat Diamond Platnumz - Mawazo (Official Music Video)
Alikiba feat Diamond Platnumz - Mawazo (Official Music Video)
Diamond Platnumz - Mawazo (Official Lyrics Video) | New Bongo Flava Hit 2026
Diamond Platnumz - Mawazo (Official Lyrics Video) | New Bongo Flava Hit 2026
Diamond Platnumz - Nitarejea (Official Video)
Diamond Platnumz - Nitarejea (Official Video)
Diamond Platnumz - Moyo Wangu (Official Video)
Diamond Platnumz - Moyo Wangu (Official Video)
Diamond-Mawazo Liveshow (Malindi Kenya)
Diamond-Mawazo Liveshow (Malindi Kenya)
Diamond Platnumz - Nawaza (Lyric Video)
Diamond Platnumz - Nawaza (Lyric Video)
Diamond Platnumz Ft Mr Flavour - Nana
Diamond Platnumz Ft Mr Flavour - Nana
Diamond Platnumz - Ntampata Wapi (Official Video HD)
Diamond Platnumz - Ntampata Wapi (Official Video HD)
DIAMOND PLATNUMZ - MAWAZO  (DANCE CHALLENGE)
DIAMOND PLATNUMZ - MAWAZO (DANCE CHALLENGE)
Diamond Platnumz - Mdogo Mdogo (Official Video)
Diamond Platnumz - Mdogo Mdogo (Official Video)
Diamond platnumz - Mawazo (Dance Challenge) #trending #dancechallenge #viral
Diamond platnumz - Mawazo (Dance Challenge) #trending #dancechallenge #viral