Lala, lele, I'm living my Lala, lele, I'm my life Lala, lele, I'm living my Lala, lele, I'm my life
1] Thank you na mama, wamenileta kwenye dunia, eh! Thank you for the life Japo kuna ninapitia Unaecheka nae raha a a Kwenye shida jerahaa Pindi akigeuka kinakuwa kinyaa Aliekuwa atakuona mzigo Huna nyumba, gari, unauza genge Au baby unaemtoa dinner Pesa zikiyumba, "kaa mbali kima!"
Lala, lele, I'm my life Lala, lele, I'm living my Lala, lele, I'm my life Lala, lele, I'm my life
2] Kitambo mi nachana ya wanyamwezi Mtaongea nyie ma-young hamniwezi Mtazidi kupenga kisa mpaka totoro Nawanyima chakula mwaka huu magodoro Ku-rap mi ni mkali, na mitindo Hamadi Ally alivyonkutaga chimbo Nilikuwa magari leo namiliki bingo mi ni mkali kolo nalichapa fimbo Rafiki wa kweli moyo wangu, yeah, lala la Japo niko peace na wanangu, Don't mess up my life
Lala, lele, I'm my life (yes I'm living, I'm living) Lala, lele, I'm my life (yes I'm living, I'm living) Lala, lele, I'm my life (yes I'm living, I'm living) Lala, lele, I'm my life (I'm living my life)
3] Koni nasirirwe thaman, Bora ninichale na MULUNGU Familia yane na vane Mjukulu wa mboja nini moja Japo wanasema mengi, mi siongei I think baada ya leo yaeza better day Ndani ya naziheshimu seven days Kama haunaga piga goti tu-pray Karibu A City, kutoe tongo Jiji la matajiri, longo longo Nikki Wa Pili, mi niliachaga Makongo Arusha kwenye ramani ya Bongo
Lala, lele, I'm my life Yes I'm living, I'm Lala, lele, I'm living my Yes I'm living, I'm Lala, lele, I'm my life Yes I'm living, I'm Lala, lele, I'm my life I'm living my
Ambae anaijua kesho anyooshe kidole juu (No one tomorrow)